Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya Polisi kumkamata ‘Nabii Tito’, Waziri Mwigulu azungumza haya

1785 Sirro 540x400

Tue, 23 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mchana wa leo January 23, 2018 Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi mmoja wa Dodoma Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito, ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe hivi sasa maelezo yake yanachukuliwa .

Kupitia ukurasa wake wa instagram Waziri wa Mambo ya Ndani Dr. Mwigulu Nchemba amesema ni kwa tuhuma za udhalilishaji, Namnukuu Dr. Mwigulu >>>  “Udhalilishaji wa aina yoyote ile haukubaliki(Kijinsia,Dini n.k)”

 

Udhalilishaji wa aina yoyote ile haukubaliki(Kijinsia,Dini n.k)

A post shared by Dr. Mwigulu Lameck Nchemba (@mwigulunchemba) on



KAULI YA KWANZA YA RPC KAGERA BAADA YA JUMA KUDAIWA KUMPIGA SHABIKI

Chanzo: millardayo.com