Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya Mashahidi 160 kutoa ushahidi, Daktari ahukumiwa miaka 175 jela

1949 Prison.png

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

“Najisikia fahari na furaha kubwa kutoa adhabu hii kutokana na kitendo alichofanya Nasser na nataka iwe fundisho kwa wengine,”  ni maneno ya Jaji Rosemary Aquilina akitoa hukumu kwa aliyekuwa Daktari wa Timu ya Taifa ya akina dada ya mchezo wa kuruka hewani nchin Marekani, Larry Nasser

Nasser mwenye umri wa miaka 54, amehukumiwa kifungo cha miaka 175 jela baada ya kupatikana na makosa 10 ya kuwanyanyasa kimapenzi wanamichezo wa kike, ambao walijitokeza kutoa ushahidi.

Wasichana na wanawake 160, walijitokeza kutoa ushahidi dhidi ya Daktari huyo ambaye juhudi zake za kuomba radhi hazikuzaa matunda.



BREAKING: SAID AMWAGA MACHOZI BAADA YA SCORPION KUHUKUMIWA MIAKA 7

 

 

 

Chanzo: millardayo.com