Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Mdude Nyagali aachiwa huru

WhatsApp Image 2021 06 28 At 10.55.48 2 660x400.jpeg BREAKING: Mdude Nyagali aachiwa huru

Mon, 28 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Leo June 28, 2021 Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemuachia huru Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali. Nyagali alikuwa akituhumiwa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin, gramu 23.4 baada ya upande wa utetezi kushindwa kutoa ushahidi.

Leo June 28, 2021 Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemuachia huru Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali. Nyagali alikuwa akituhumiwa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin, gramu 23.4 baada ya upande wa utetezi kushindwa kutoa ushahidi. Juni 14, 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya iliahirisha kutoa hukumu dhidi ya kesi yake kwa kile kilichoelezwa kuwa hukumu bado haijakamilika pamoja na mambo mengine ambayo yalikuwa nje ya uwezo wa Hakimu.

Chanzo: millardayo.com