Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Atupwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wake

Jela Lawiti Atupwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wake

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023.

Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano wakiongozwa na mtoto mhanga.

Mtuhumiwa aliyekuwa akiishi na watoto wake wawili wa kiume, alikuwa akitenda kosa hilo usiku na kumtishia maisha kwa kumtaka kutosema sehemu yoyote

Kinyume cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Kifungu cha 154 Kifungu Kidogo cha kwanza a na kifungu cha pili Sura namba 16 kama ilivyofanyiwa marejeo Mwaka 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.live