Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Atupwa jela maisha kwa kimlawiti mtoto wa kaka yake

FB IMG 1658567072067 Atupwa jela maisha kwa kimlawiti mtoto wa kaka yake

Sat, 23 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya Wilaya ya Muheza - Tanga imemhukumu kifungo cha maisha gerezani Paulo Mngazija (39) mkazi wa Kicheba B kwa kumlawiti mtoto wa kiume wa kaka yake na kumsababishia maumivu makali.

Mngazija alitenda kosa hilo kwa mtoto huyo wa miaka sita Juni 19 mwaka huu.

Kesi hiyo ya jinai namba 65 ya mwaka 2022 ilifunguliwa na kuanza kusikilizwa kwa mara ya kwanza Juni 23, 2022.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Muheza, Yusuph Abdallah Zahoro, amesema mtuhumiwa ametiwa hatiani chini ya kifungu cha 154 cha kanuni ya adhabu sura ya 16, marejeo ya mwaka 2019.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live