Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askari watano mbaroni kwa kusafirisha wahamiaji haramu

Kamanda Benjamin Kuzaga Kamanda Kuzaga

Sat, 3 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia Askari watano wa Jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu ambao ni raia wa Ethiopia kuwapeleka nchini Malawi kupitia mpaka wa Kasumulu uliopo wilayani Kyela.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin Kuzaga, amethibitisha kukamatwa kwa Askari hao.

Aidha, Kuzaga ametoa wito kwa Askari kuacha kujihusisha na vitendo vya usafirishaji wa wahamiaji haramu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live