Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askari feki wawili wakamatwa wakivizia guest house, watuhumiwa wengine 25 watumia mapanga (+video)

Screen Shot 2020 08 05 At 2.06.05 AM 660x400.png Askari feki wawili wakamatwa wakivizia guest house, watuhumiwa wengine 25 watumia mapanga (+video)

Wed, 5 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Kamanda wa Keshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Awadh Juma Haji akizungumza na Waandishi wa habari Visiwani Zaznibar ametoa ripoti za matukio mbalimbali yaliyojitokeza Visiwani humo.

Kamanda wa Keshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Awadh Juma Haji akizungumza na Waandishi wa habari Visiwani Zaznibar ametoa ripoti za matukio mbalimbali yaliyojitokeza Visiwani humo. Katika kuadhimisha sikuku ya Eid Elhaji, Polisi Mkoa wa Magharibi walifanya operesheni mbalimbali na katika operesheni hizo wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 37 kwa makosa mbali mbali ya kiuhalifu.

Chanzo: millardayo.com