Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askari auawa na Mwananchi Arusha akitaka kumkamata "kuvuja damu"

Crime Scene Decoration  Mw 133583 2 Askari auawa na Mwananchi Arusha akitaka kumkamata

Sun, 25 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linaendesha operesheni maalumu kufuatia askari wa jeshi hilo kuuawa na mtuhumiwa ambaye alikuwa anatafutwa baada ya kuripotiwa kwa taarifa za wizi RPC Arusha Justine Masejo amesema tukio hilo lilitokea eneo la Makiba Wilayani Arumeru, Arusha ambapo askari huo alikuwa anawatafuta watuhumiwa hao ambapo mmoja aliyekuwa anatafutwa alitokea nakumkata kwa kitu chenye ncha kali.

Chanzo: millardayo.com