Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askari aliyejinyonga mahabusu alitumia dekio

Sababu Kujinyonga (600 X 295) Askari aliyejinyonga mahabusu alitumia dekio

Wed, 26 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani ni Greyson Mahembe ambaye ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi anayedaiwa kujinyonga kwa tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha Polisi Wilaya ya Mtwara, Mkoani Mtwara.

Pichani ni Greyson Mahembe ambaye ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi anayedaiwa kujinyonga kwa tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha Polisi Wilaya ya Mtwara, Mkoani Mtwara. Greyson alikuwa miongoni mwa Maafisa wengine wa Polisi saba wanaotuhumiwa kuumua kijana Mussa Hamisi (25) ambaye ameuawa baada ya kudai fedha zake shilingi Milioni 33.7 ambazo Maafisa hao wanadaiwa kuzichukua kutoka kwa kijana huyo baada ya kumfanyia upekuzi, uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live