Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askari alivyowaonya wananchi waliopanga kuzomea na kushangilia kesi ya Sabaya (+video)

Video Archive
Sat, 3 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Kwenye hii video inaonyesha askari magereza akiwaonya baadhi ya wananchi waliopanga kuzomea na kushangilia kwenye kesi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake inayosikilizwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Arusha.

Chanzo: millardayo.com