Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askari akutwa mtaroni akiwa amefariki

102316 Pic+askari Askari akutwa mtaroni akiwa amefariki

Tue, 14 Apr 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Hai. Askari  wa kituo  cha polisi Kia, Sajenti Juma Ango amekutwa akiwa ametupwa mtaroni mita chache kutoka kituo cha polisi Hai Mjini.

Mkuu  wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema watu wiliokuwa wakifyeka majani kandokando ya barabara ndio waliokutana na mwili huo.

Sabaya amesema  mwili huo umekutwa ukiwa na na jeraha kubwa kisongoni na kwamba alikuwa amepigwa na kitu chenye ncha kali.

"Taarifa zinasemekana alikuwa na askari wenzake  jana hadi saa nane usiku  maeneo ya Msami,"amesema Sabaya

Chanzo: mwananchi.co.tz