Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Asanteni mliotuma video, tumewakamata madereva”

1826 Maagr 660x397

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Miongoni mwa stori iliyoshika headlines katika mitandao ya kijamii leo January 23, 2018 ni  video ya mabasi mawili yaliyokamatwa na Jeshi la Polisi kwa kukiuka sheria za usalama barabarani.

Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani nchi Fortunatus Muslim ameongea na AyoTV na kuwashukuru wananchi waliotuma video na kuelezea hatua zilizochukuliwa baada ya kuwakamata madereva hao.

“Kuanzia jana jioni tumepokea taarifa kwa njia ya mtandao, ikionesha magari ya kubeba abiria, yakilipita lori kwa upande wa kushoto na kulia, njia hatari, tumekamata madereva wote wawili na wamiliki tunaendelea kuwahoji, niwashukuru wananchi”-Kamanda Muslim

VIDEO: “NABII TITO” AMWAMBIA KAMANDA “MIMI NINATUMIA BIBLIA”

Chanzo: millardayo.com