Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amuua baba yake mzazi kwa kushindwa kumtafutia mchumba

Mauaji Abc.jpeg Amuua baba yake mzazi kwa kushindwa kumtafutia mchumba

Wed, 7 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Kristatus Victory (23) mkazi wa Lukuledi wilayani Masasi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Victory Milanzi (74) kwa madai ya kushindwa kumtafutia mchumba wa kuoa.

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Kristatus Victory (23) mkazi wa Lukuledi wilayani Masasi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Victory Milanzi (74) kwa madai ya kushindwa kumtafutia mchumba wa kuoa. Akizungumza Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Issack Mushi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtuhumiwa anadaiwa kumchoma kisu mdomoni na tumboni baba yake, kisha kumjeruhi mama yake mzazi, Carolina Ludugeli (68).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live