Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amuua Baba yake kisa nyama ya kuku

 Baba Yake.jpeg Amuua Baba yaka kisa nyama ya kuku

Thu, 14 Oct 2021 Chanzo: NigeriaNews

Polisi nchini Nigeria wanamshikilia Godwin Matthew (26) kwa tuhuma za kumuua baba yake, Matthew Audu (64) baada ya kula nyama ya kuku yote kisha kumbakishia kichwa mwanae huyo.

Polisi nchini Nigeria wanamshikilia Godwin Matthew (26) kwa tuhuma za kumuua baba yake, Matthew Audu (64) baada ya kula nyama ya kuku yote kisha kumbakishia kichwa mwanae huyo. Afisa Uhusiano wa Polisi katika jimbo la Ondo, DSP Funmi Odunlami amethibitisha tukio hilo la mauaji liliripotiwa katika kituo cha Polisi cha Ala na mke wa marehemu baada ya Godwin kutekeleza tukio hilo wakiwa shambani.

Chanzo: NigeriaNews