Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyetaka kumuua mkewe kwa tindikali atupwa jela

AHUKUMIWA TINDIKALI.jpeg Aliyetaka kumuua mkewe kwa tindikali atupwa jela

Wed, 1 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga imemhukumu mwalimu Deogratias Chiza (34) wa Shule ya Sekondari Kanazi iliyopo wilayani Ngara kwenda jela miaka mitano na kulipa faini ya shilingi milioni tano, baada ya kumkuta na hatia ya kujaribu kumuua mkewe kwa kumwagia tindikali sehemu mbalimbali mwilini.

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga imemhukumu mwalimu Deogratias Chiza (34) wa Shule ya Sekondari Kanazi iliyopo wilayani Ngara kwenda jela miaka mitano na kulipa faini ya shilingi milioni tano, baada ya kumkuta na hatia ya kujaribu kumuua mkewe kwa kumwagia tindikali sehemu mbalimbali mwilini. Hukumu hiyo imetolewa na Jaji mfawidhi wa mahakama hiyo, Athumani Matuma aliyebainisha kuwa mwalimu huyo alitenda kosa hilo Septamba 2 mwaka 2018 wilayani Bariadi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live