Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyemkata mke wake mkono aachiwa kwa dhamana,ajifunika na shuka usoni

Jamaa Mahakamani 660x400 Aliyemkata mke wake mkono aachiwa kwa dhamana,ajifunika na shuka usoni

Tue, 22 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mahakama ya wilaya ya Arumeru imeahirisha kesi inayomkabili Ombeni Alfayo Mollel anayekabiliwa  kwa kosa lakufanya shambulio lakujaribu kumuua mke wake kwa kumjeruhi nakusababisha kiganja cha mkono wa kulia kutengana na mkono.Mtuhumiwa huyo kwa sasa ameachiwa kwa dhamana.

Mahakama ya wilaya ya Arumeru imeahirisha kesi inayomkabili Ombeni Alfayo Mollel anayekabiliwa  kwa kosa lakufanya shambulio lakujaribu kumuua mke wake kwa kumjeruhi nakusababisha kiganja cha mkono wa kulia kutengana na mkono.Mtuhumiwa huyo kwa sasa ameachiwa kwa dhamana. BIBI AMBAYE RAIS MAGUFULI ALIAGIZA ASAIDIWE ATISHIWA KUUAWA,AWEKA UZIO WA UMEME KUJILINDA,DC AONGEA

Chanzo: millardayo.com