Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyeandika kitabu cha 'Jinsi ya kumuua mume wako' amuua mumewe

Nancy Crampton .jpeg Nancy Crampton na mumewe

Wed, 15 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018.

Imeelezwa kwamba tukio la mauaji lilifanyika mahali ambapo mume wake huyo aitwaye Daniel Brophy, alikuwa akifanya kazi kama mpishi na mwili wake ulikutwa sakafuni kwa majeraha ya risasi mbili mnamo Juni 2008.

Nancy Crampton Brophy, alihukumiwa maisha hapo jana Juni 13, 2022, na kwamba hata silaha aliyoitumia haijulikani ilipo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live