Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alieyemzushia Magufuli ugonjwa akamatwa, Polisi wanena "tunawasaka wengine" (+video)

Video Archive
Mon, 15 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni Mgonjwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni Mgonjwa. Kamanda Kingai amesema kumekuwa na tabia ya baadhi wa Watu pindi wanapotumiwa taarifa za uzushi nao wanasambaza bila kujua kuwa ni kosa kisheria na kusema wanaendelea kuwafuatilia wote wenye tabia hiyo na wakikamatwa watafikishwa Mahakamani.

Chanzo: millardayo.com