Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Albino aliyenusurika kukatwa mikono Dar, mama azungumza

ALBINO MOHAMMED.jpeg Albino aliyenusurika kukatwa mikono

Fri, 29 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana Mohammed Rajabu (18) mwenye ulemavu wa ngozi (alibino) mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam amenusurika kupoteza mkono baada ya kukatwa vidole na watu wasiojulikana mnamo Aprili 25, 2022.

Kijana Mohammed Rajabu (18) mwenye ulemavu wa ngozi (alibino) mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam amenusurika kupoteza mkono baada ya kukatwa vidole na watu wasiojulikana mnamo Aprili 25, 2022. Mama mzazi wa Mohammed anasema sasa wanalazimika kumfungia ndani mwanaye huyo kwa kuhofia kutendewa tena tukio hilo la kikatili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live