Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akata chuchu na sehemu za siri za mpenzi wake

MWANAMKEE Akata chuchu na sehemu za siri za mpenzi wake

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: Eatv

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamsaka mwanaume ajulikanaye kwa jina moja la Masudi kwa tuhuma za kumkata chuchu na sehemu zake za siri na kitu chenye ncha kali mpenzi wake ambaye jina lake limehifadhiwa.

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamsaka mwanaume ajulikanaye kwa jina moja la Masudi kwa tuhuma za kumkata chuchu na sehemu zake za siri na kitu chenye ncha kali mpenzi wake ambaye jina lake limehifadhiwa. Akizungumza jana Oktoba 11, 2022, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng'anzi, amesema tukio hilo limetokea wilayani Magu katika msitu wa Sayaka ambapo mwanaume huyo anadaiwa kumchukua mpenzi wake huyo na kutekeleza unyama huo kisha kukimbia kusikojulikana.  

Chanzo: Eatv