Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akamatwa kwa kuiba duka moja mara 11 katika miezi 5

Donte Elbert 1024x576 Akamatwa kwa kuiba duka moja mara 11 katika miezi 5

Thu, 20 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Polisi wa Chicago, Illinois walimkamata mwanamume mmoja Jumatatu ambaye alidaiwa kuiba kwenye ener hilo la biashara hiyo hiyo ya rejareja mara 11 kati ya Desemba 2022 na Aprili, kulingana na polisi.

Maafisa wa Idara ya Polisi ya Chicago walisema katika taarifa kwa vyombo vya habari kwamba mwanaume huyo alitambuliwa kwa Jina Donte Elbert, 36, wa Chicago, alikamatwa kwenye barabara ya West Belmont.

“Aliwekwa kizuizini sababu alijaribu kupitisha bidhaa alizochagua bila kulipia bidhaa,” mwakilishi wa Idara ya Polisi ya Chicago aliiambia Fox News Digital.

Mwakilishi huyo aliongeza kuwa wafanyikazi katika duka la Elbert ambayo lililopo kwenye mtaa wa 3200wa N. Clark Street waliibiwa mara 11, na mara kadhaa walitia taarifa kwenye kituo cha polisi ambazo zilisababisha kukamatwa kwake.

Elbert pia alidaiwa kuiba bidhaa kutoka eneo tofauti kwenye mtaa wa 3200 wa N. Broadway.

Sasa anakabiliwa na makosa tisa ya wizi wa bidhaa , zenye thamani ya zaidi ya $300, sawa na Tsh703,500na kosa moja la uhalifu.

Polisi hawakujibu maswali kuhusu kama wanaamini Elbert anahusishwa na wizi mwingine wowote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live