Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajiua kwa kukosa ajira za Jeshi, Kaka yake asimulia mkasa mzima (+video)

Maxresdefault 26 660x400 Ajiua kwa kukosa ajira za Jeshi, Kaka yake asimulia mkasa mzima (+video)

Thu, 4 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Kijana Sunday Matara (28) amejiua kwa kujinyonga baada ya kupata taarifa za Uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo ya JKT kundi la kujitolea kwa mwaka 2020/2021 kwa kambi mbalimbali nchini.

Kijana Sunday Matara (28) amejiua kwa kujinyonga baada ya kupata taarifa za Uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo ya JKT kundi la kujitolea kwa mwaka 2020/2021 kwa kambi mbalimbali nchini. Marehemu alikuwa tayari amekamilisha mafunzo kwa miaka mitatu baada kutoka kambini alikwenda kwa Kaka yake Pugu Dar es salaam kisha siku chache baadae akachukua maamuzi ya kujinyonga.

Chanzo: millardayo.com