Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kupatikana na nyara za Serikali

Ahukumiwa Miaka 20 Jela Kwa Kupatikana Na Nyara Za Serikali Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kupatikana na nyara za Serikali

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hakimu Mfawidhi wa mahakama ya wilaya Kongwa Mh. Sara Mwalilino Juni 12, 2024 amemhukumu Rashid Malima miaka 42, Mgogo, mkulima, mkazi wa Handeni mkoa wa Tanga kifungo cha miaka 20 kwa kosa la kupatikana na Nyara za Serikali pembe 02 za mnyama pori aina ya Pongo.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama ya wilaya Kongwa Mh. Sara Mwalilino Juni 12, 2024 amemhukumu Rashid Malima miaka 42, Mgogo, mkulima, mkazi wa Handeni mkoa wa Tanga kifungo cha miaka 20 kwa kosa la kupatikana na Nyara za Serikali pembe 02 za mnyama pori aina ya Pongo. Mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo Julai 4, 2023 huko katika maeneo ya Ranch ya Narco iliyopo kata ya Mtanana Tarafa ya Kongwa wilaya ya Kongwa mkoa wa Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live