Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Adakwa kwa kete 1,380 na misokoto ya bangi 1,200

D34244458fb68a59cb32d1cee6020260 Adakwa kwa kete 1,380 na misokoto ya bangi 1,200

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Zulfa Ramadhani, miaka (20) na wenzake 75 wakiwa na dawa za kulevya kete 15 Heroine, Bhangi Puli 396 , Kete 1,380 na Misokoto ya bangi 1200

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Zulfa Ramadhani, miaka (20) na wenzake 75 wakiwa na dawa za kulevya kete 15 Heroine, Bhangi Puli 396 , Kete 1,380 na Misokoto ya bangi 1200 Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Jumanne Muliro amesema leo kuwa watuhumiwa hao walikamtwa kutokana na Oparesheni, doria na misako inayoendelea ili wananchi waendelee kuwa salama.

Chanzo: www.habarileo.co.tz