Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AJINYONGA BAADA YA KUGUNDUA MUMEWE ANAMSALITI

79438 KIFO+PIC AJINYONGA BAADA YA KUGUNDUA MUMEWE ANAMSALITI

Mon, 25 Jan 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mwanamke mmoja anaefahamika kwa jina la Nyamhanga (21) mkaazi wa kijiji cha Itununu Wilayani Serengeti ambae ni mjamzito miezi tisa amekutwa amejinyonga huku chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Mwanamke mmoja anaefahamika kwa jina la Nyamhanga (21) mkaazi wa kijiji cha Itununu Wilayani Serengeti ambae ni mjamzito miezi tisa amekutwa amejinyonga huku chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Mkami aliamua kujinyonga kwa kutumia kanga ambayo ilifungwa kwenye mti wa mwembe uliopo shambani baada ya Mumewe anachepuka nje ya ndoa.

Chanzo: zanzibar24.co.tz