Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Kriketi

Australia watwaa Kombe la Dunia la Kriketi T20.

Australia Live 756x420 Timu ya Taifa ya Kriketi ya Australia

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Kriketi ya Australia imefanikiwa kuchukua ubingwa wa Dunia wa mashindano ya kombe la dunia la kriketi T20 baada ya kuifunga New Zealand.

Ubingwa huo umepunguza presha kwa kocha mkuu wa timu hiyo kutokana na kuwa na msimu mbaya na kupelekea baadhi ya wachezaji kuhoji staili ya ufundishaji wa kocha huyo.

Katika fainali hiyo iliyopigwa Falme za kiarabu, Dubai ilishuhudia Mitchell Marsh akiwatanguliza Australia kwa tofauti ya wickets nane dhidi ya New Zealand.

Hili linakuwa ni kombe la Dunia la kriketi la kwanza katika historia ya Australia, wakiwa wametwaa ubingwa huo kutoka kwa West Indies ambaye ndiye aliekuwa bingwa mtetezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live