Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zoom, Kupatana waungana

Screenshot 20220305 183643 Chrome Zoom, Kupatana waungana

Sat, 5 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni mbili kubwa za mtandao ambazo huko nyuma zilikuwa na ushindani mkubwa kwenye mitandao, Zoom na Kupatana zimeungana na kuwa chini ya kampuni moja ya Afrieuro Digital Ventures ambayo ndiyo imepata haki zote za kumiliki tovuti hizo zote mbili na kuongeza wigo mpana nchini Tanzania.

Kampuni mbili kubwa za mtandao ambazo huko nyuma zilikuwa na ushindani mkubwa kwenye mitandao, Zoom na Kupatana zimeungana na kuwa chini ya kampuni moja ya Afrieuro Digital Ventures ambayo ndiyo imepata haki zote za kumiliki tovuti hizo zote mbili na kuongeza wigo mpana nchini Tanzania. Kampuni hiyo imesema kuwa hii ni fursa nzuri zaidi kwa watumiaji wa mitandao kuweza kujipatia bidhaa mbalimbali kupitia tovuti hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live