Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaidi ya wajasiriamali 300 kushiriki maonesho ya wajasiriamali Burundi

Zaidi Ya Wajasiriamali 300 Kushiriki Maonesho Ya Wajasiriamali Burundi Zaidi ya wajasiriamali 300 kushiriki maonesho ya wajasiriamali Burundi

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wajasiriamali zaidi ya 300 kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania kushiriki maonesho ya 23 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika Bujumbura, Burundi kuanzia tarehe 5 hadi 15 Desemba, 2023.

Wajasiriamali zaidi ya 300 kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania kushiriki maonesho ya 23 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika Bujumbura, Burundi kuanzia tarehe 5 hadi 15 Desemba, 2023. Maonesho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Cercle Hyppique (Golf Course), Bujumbura yakiongozwa na kauli mbiu isemayo ‘Kuunganisha Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Afrika Mashariki kufanya biashara katika eneo la Jumuiya ya Afrika Mashariki’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live