Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yaliyojiri wakati Makamu wa Rais akifungua soko (+Picha)

1160 1.png TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba ambapo alikuwa na viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakati wa uzinduzi huo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba ambapo alikuwa na viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakati wa uzinduzi huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipokelewa na Waziri wa Kilimo, Mifugo, Maliasili na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid na viongozi wengine wa Chama na Serikali.

Chanzo: bongo5.com