Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Weekend uendewapi?

8865 Club+pic TZW

Tue, 12 Jun 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Element Club

Wapi- Masaki jijini Dar es Salaam

Jumamosi hii, DJ Sinyorita atakuwa anawarusha kwa muziki mtamu kuanzia saa tatu.

Mint Club

 Wapi- Bukoba

Kama upo Bukoba wikiendi hii unaweza kupunguza uchovu wa kazi wa wiki nzima kwa kujirusha Mint Club kuanzia leo Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.

 

Serena Hotel Dar

Pata Iftar kila siku katika mwezi wa Ramadhani kuanzia Mei 16- Juni 17, 2018 ndani ya mgahawa wa Serengeti kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2.00 usiku.

 

Ambassador

Kama upondaniyaMjiwaGeita  kiwanjahikikipokatika barabarayakuelekeamgodimkubwawadhahabu. Ukiwakwenye Club ya Ambassador utapatachakulakizuri,mchemshowandizisamaki fresh na kuku.

 

Club 7

Kama upokatikamakaomakuuyanchi, unawezakujirusha Club 7 kuanziaIjumaa, JumamosinaJumapili. Mbalinamuziki, chakulakizurinimojayasifainayoitofautisha Club hiyonanyinginekatikaJiji la Dodoma.

 

 

Chanzo: mwananchi.co.tz