Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri mpina ashangaa uagizwaji wa dawa kutoka nje,atoa maagizo

Farm22 660x400 Waziri mpina ashangaa uagizwaji wa dawa kutoka nje,atoa maagizo

Tue, 18 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa mifugo na uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali imetoa vibali kwa ajili ya uwekezaji wa ndani kwa ajili ya madawa ya mifugo  kutokana na uagizwaji wa madawa ya mimea na mifugo kutoka nje ya nchi kuwa mkubwa huku akitoa maagizo

“wawekezaji wanashindwa kuzalisha kwa ajili ya makontena lakini nyinyi mmeleta makontena wenyewe  hili ni ushindi mkubwa,nyinyi farm access leo mnazalisha kila kitu hapa kuwepo kwenu hapa tunapunguza matumizi ya fedha za kigeni”-Mpina

MGAZETI: Majina wagombea ubunge kutua kamati kuu leo, CHADEMA yalalamikia NEC

Chanzo: millardayo.com