Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri atishia kufunga machinjio zote Dar

Machinjio Ya Sh Bilioni 29 Yazinduliwa Mvomero Waziri atishia kufunga machinjio zote Dar

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, amesema atazifungia kufanya kazi machijio zote za mkoa wa Dar es Salaam na nyinginezo hapa nchini ambazo zimekuwa zikiendesha minada ya mifugo badala ya kufanya kazi husika ambayo ni kuchinja mifugo pekee.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, amesema atazifungia kufanya kazi machijio zote za mkoa wa Dar es Salaam na nyinginezo hapa nchini ambazo zimekuwa zikiendesha minada ya mifugo badala ya kufanya kazi husika ambayo ni kuchinja mifugo pekee. Hayo ameyasema Dar es Salaam, wakati akizindua mizani ya mifugo katika mnada wa Pugu ambayo itatumika kupima kilo za mifugo kabla ya kuuzwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live