Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri ataka matumiz bidhaa za SIDO

KIGAHEEE WEEB Waziri ataka matumiz bidhaa za SIDO

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda vidogo nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda hivyo.

Kigahe ameyasema hayo wakati akifungua Maonesho ya nne (4) ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Mkoani Njombe.

Pia ameielekeza SIDO kushirikiana na Halmashauri zote nchini kuzalisha kwa wingi teknolojia na zana za kisasa zitakazosaidia katika uzalishaji na usindikaji wa bidhaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live