Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Bashungwa akabidhi zana za Kilimo JKT

Bashungwaaas Waziri Bashungwa akabidhi zana za Kilimo JKT

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: Eatv

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Innochent Bashungwa amekabidhi zana za kilimo zenye thamani ya shilingi bilioni 3.9 kwa JKT kwa ajili ya miradi ya kimkakati ya jeshi hilo ili kuongeza uzalishaji wa chakula nchini.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Innochent Bashungwa amekabidhi zana za kilimo zenye thamani ya shilingi bilioni 3.9 kwa JKT kwa ajili ya miradi ya kimkakati ya jeshi hilo ili kuongeza uzalishaji wa chakula nchini. Kwa upande wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Stergomena Tax ambaye aliasisi ununuzi wa zana hizo akiwa Waziri wa Ulinzi amesema zana hizo zitasaidia kukabili upungufu wa utekelezaji wa mradi wa umwagiliaji wa mashamba ya kimkakati ya Chita na Mngeta.

Chanzo: Eatv