Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wawekezaji Tanzania, China wakutana mtandaoni

Wawekezaji Tanzaniaaaa.png Wawekezaji Tanzania, China wakutana mtandaoni

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kituo cha uwekezaji nchini (TIC) kimeratibu kongamano la kwanza la kimtandao likiwaleta pamoja wawekezaji kutoka China na Tanzania.

Kituo cha uwekezaji nchini (TIC) kimeratibu kongamano la kwanza la kimtandao likiwaleta pamoja wawekezaji kutoka China na Tanzania. Katika kongamano hilo linalofanyika leo limeongozwa na Balozi wa Tanzania nchini China, Balozi Khamis Omar. TIC imesema kongamano jingine litafanyika Aprili 16, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live