Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wavuvi Mwanza watumia taa za nishati ya jua

Solll Wavuvi Mwanza watumia taa za nishati ya jua

Sun, 12 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika jitihada za kulinda mazingira ziwani baadhi ya wavuvi nchini Tanzania wameanza kutumia taa za nishati ya jua katika uvuvi, hapo awali wavuvi wengi walikuwa wakitumia taa za karabai ambazo zinatumia Mafuta ya taa.

Katika jitihada za kulinda mazingira ziwani baadhi ya wavuvi nchini Tanzania wameanza kutumia taa za nishati ya jua katika uvuvi, hapo awali wavuvi wengi walikuwa wakitumia taa za karabai ambazo zinatumia Mafuta ya taa. Kwa sasa taa hizo zimezuiwa na serikali kwani zilikuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira ya ziwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live