Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wauza gesi kupigwa faini ya milioni 20

GESII WEBB Wauza gesi kupigwa faini ya milioni 20

Thu, 2 Mar 2023 Chanzo: Eatv

Ofisi ya Wakala wa Vipimo mkoa wa Mwanza imesema wafanyabiashara na wasambazaji wa gesi watakaofanya udanganyifu kwenye mizani ya kupima uzito wa mitungi ya gesi watapigwa faini isiyozidi shilingi milioni 20.

Ofisi ya Wakala wa Vipimo mkoa wa Mwanza imesema wafanyabiashara na wasambazaji wa gesi watakaofanya udanganyifu kwenye mizani ya kupima uzito wa mitungi ya gesi watapigwa faini isiyozidi shilingi milioni 20. Onyo hilo limetolewa na Meneja wa Wakala wa Vipimo mkoa wa Mwanza Hilolimus Mahundi, katika kikao cha kuwajengea uelewa wadau wa biashara ya gesi ili waweze kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo kwa ajili ya kumlinda mlaji wa mwisho asipate kipimo pungufu katika mitungi ya gesi.  

Chanzo: Eatv