Wakulima wa zao la Tangawizi wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wamelalamikia ukosefu wa soko la zao hilo na kusababisha kusitisha uuzaji baada ya kupangowa bei ndogo na madalali.
Wakulima wa zao la Tangawizi wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wamelalamikia ukosefu wa soko la zao hilo na kusababisha kusitisha uuzaji baada ya kupangowa bei ndogo na madalali. Baadhi ya wakulima katika Kijiji cha Kigogwe Kata ya Mzenze wilayani Buhigwe, wamesema mwaka huu wanatarajia kuvua tani laki moja na kumi na sita, ikiwa ni nje ya maeneo mengine wanayolima Tangawizi, suala ambalo wameomba serikali iingilie kati kutafuta soko la uhakika na lenye tija.