Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakandarasi REA wapewa maagizo

Umeme Ms Wakandarasi REA wapewa maagizo

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini wilayani Songea, kuzingatia matumizi ya vifaa vyenye ubora na kuongeza nguvu kazi ili miradi hiyo ikamilike kwa muda uliopangwa.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini wilayani Songea, kuzingatia matumizi ya vifaa vyenye ubora na kuongeza nguvu kazi ili miradi hiyo ikamilike kwa muda uliopangwa. Balozi Kingu pia amewataka Wakandarasi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usalama wa miradi wanayoitekeleza ili azma ya Serikali kuhakikisha inawanufaisha wananchi iweze kutimizwa. -

Chanzo: www.tanzaniaweb.live