Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wahandisi wapewa maagizo haya

Wahandis Maagizo Mwenge Wahandisi wapewa maagizo haya

Thu, 14 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Agizo hilo limetolewa na kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Sahili Nyanzabara Geraruma akiwataka wafanye kazi kwa umakini ili miundombinu na majengo yanayojengwa viwe bora.

Geraruma akikagua na kuweka jiwe la msingi kwenye eneo la viwanda iliyopo Mtaa wa Lilambo B Kata ya Lilambo ameendelea kusisitiza wahandisi kufanya kazi kwa ubora ili kutekeleza miradi yao kwa kiwango kinachotakiwa.

"Vijana, akinamama acheni kulia maisha magumu Manispaa kuna pesa mjitokeze kwa wingi na kujiunga na vikundi ili mpewe elimu na kuomba mikopo, tumieni hii fursa kujikwamua kiuchumi, viwanda hivi vitasaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja pia uchumi wa taifa letu, akina mama nanyi mjiunge kwenye vikundi kwa ajili ya kukopa pesa sio .” Amesema Geraruma

Mkuu wa Wilaya ya Songea, Pololet Mgema amesema Mwenge huo utakimbizwa katika Manispaa ya Songea ikiwa ni pamoja na kukagua kuweka jiwe la msingi na kufungua miradi yenye thamani ya Sh1.4 bilioni

Chanzo: www.tanzaniaweb.live