Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafikia muafaka mnada wa korosho Mtwara

Mwenyeji Korosho Wafikia muafaka mnada wa korosho Mtwara

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakulima wa korosho kutoka wilaya za Tandahimba na Newala mkoani Mtwara wakihesabu bahasha kutoka kwa wanunuzi, kwa ajili ya kuanza mnada wa kwanza wa korosho.

Mnada huo unafanyika katika wilaya ya Tandahimba kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Tandahimba na Newala (TANECU).

Wakulima wa korosho wa wilaya hizo za Tandahimba na Newala wamekubali kuuza korosho zao katika mnada wa kwanza kwa bei ya juu ya shilingi 2,050 na bei ya chini ya shilingi 1,950.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live