Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafanyakazi NAKUMATT walalamikia kukosa mshahara

1376 Wafa

Wed, 17 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Siku chache baada ya Supermarket za NAKUMATT kufungwa kwenye maeneo mbalimbali nchini, waliokuwa wafanyakazi wa Supermarket hizo  January 15 2018 wamefika kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ili kufikisha malalamiko yao ya kukosa mishahara kwa takribani miezi mitatu  lakini hawakufanikiwa kukutana na RC Makonda.

Wakiwa nje ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wamezungumza na millardayo.com na AyoTV kuhusu malalamiko yao.

KAMPUNI YAJIFUNGIA KUCHAPISHA GAZETI KWA MIEZI MITATU NA KUOMBA MSAMAHA KWA JPM NA KAGAME

Chanzo: millardayo.com