Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafanyabiashara Hanang waomba kupunguziwa kodi

Fukua Hanang (600 X 351) Wafanyabiashara Hanang waomba kupunguziwa kodi

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wafanyabiashara wilaya ya Hanang mkoani Manyara wameiomba Serikali kupitia Mamlaka ya mapato Tanzania kuwapunguzia Kodi kutokana na Janga lililowakumba ambalo limewapelekea kuwa na Hali ngumu ya kiuchumi

Wakizungumza wafanyabiashara hao wamesema kuwa pesa ipo lakini bidhaa hakuna kutokana na bidhaa zao kusombwa na maji na kupata hasara kubwa

Wamesema kuwa katika Mji wa Kateshi biashara Huwa wanafanya kwa kutegemeana kama vile mifugo na nafaka lakini kwa Sasa inakuwa ngumj kufanyika hivyo Kodi ikishushwa ana kufutiwa kwa muda itakuwa hauweni kwao katika kuanza upya kibiashara

Chanzo: www.tanzaniaweb.live