MACHINJIO holela yaliyopo katika maeneo mbalimbali jijinii Dar es Salaam, yameathiri huduma ya uchinjaji kuku inayopatikana katika Soko la Kuku Kisutu. - Mwenyekiti wa wachinjaji kuku katika soko hilo lililopo kwenye Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Zuberi Mtima amesema; " Sisi tunalalamikia machinjio holela, iwapo serikali itadhibiti machinjio hayo holela, naamini sisi tutapata kazi," amesema. - Mtima amesema serikali inapaswa kuliangalia hilo kwani kwenye machinjio kunahitajika kuwe na daktari wa mifugo na bwana afya, hivyo huko kwenye machinjio holela hao hawapo.