Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano

0022?fit=1080%2C720&ssl=1 Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano

Fri, 16 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano July 16, 2021 by Denis Mtima



Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania Plc Vanessa Mlawi akionyesha tuzo baada ya kampuni hiyo kushinda kwenye maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. Vodacom Tanzania ilishinda tuzo hiyo baada ya kuwa kinara kutokana na huduma bora zilizotolewa na kampuni hiyo kwenye maonesho kupitia kundi la sekta ya mawasiliano.

Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano kwenye maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. Vodacom Tanzania ilishinda tuzo hiyo baada ya kuwa kinara kutokana na huduma bora zilizotolewa na kampuni hiyo kwenye maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa kupitia kundi la sekta ya mawasiliano.

Share this:TweetWhatsApp Related

Chanzo: globalpublishers.co.tz