Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vituo vyakosa mafuta, bodaboda wauza Sh 4500 kwa lita

FB IMG 1669540617716 Vituo vyakosa mafuta, bodaboda wauza Sh 4500 kwa lita

Sun, 27 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodaboda wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamelazimika kuacha kazi yao na kuanza kuuza petroli, baada ya mji huo kukosa nishati hiyo licha ya kuwepo kwa vituo vya mafuta ambavyo kwa sasa havina.

Bodaboda wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamelazimika kuacha kazi yao na kuanza kuuza petroli, baada ya mji huo kukosa nishati hiyo licha ya kuwepo kwa vituo vya mafuta ambavyo kwa sasa havina. Kwa sasa lita moja ya petroli inauzwa kati ya Tsh 4,000 mpaka 4,500, awali iliuzwa 2,912, mafuta hayo yanapatikana maeneo mengine kuja kuuzwa Kiteto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live