Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vitu Vipyaa! Kuuzwa kwa Mnada Bei Chee

TAMBAZA 8?fit=791%2C429&ssl=1 Vitu Vipyaa! Kuuzwa kwa Mnada Bei Chee

Fri, 28 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Vitu Vipyaa! Kuuzwa kwa Mnada Bei Chee – Video May 28, 2021 by Global Publishers



TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED kwa idhini tuliyopewa tunawatangazia mnada wa hadhara utakaofanyika Jumamosi hii ya Mei 29, 2021 kuanzia saa 4:00 asubuhi.



Mnada huo utahusisha vitu mbalimbali vya wadaiwa walioshindwa kulipa madeni yao ikiwa ni pamoja na; Baiskeli kubwa, size ya kati, na ndogo, Flat TV kubwa, laptops za kisasa, majiko ya umeme na ya gesi, viti, mahema mapya, mashine za kukatia majani na nyasi, vifdaa vya muziki home theatre, speakers, sabufa zinazopiga vizuri sana, vyombo vya ndani kama glasi, vikombe vya chai, mabakuri, hotpots, mabeseni ya kisasa, mipira, vifaa vya michezo, vifaa vya make ups na vitu vingine kibao.

Mnada huo utafanyika katika Ofisi zetu za TAMBAZA zilizopo Sinza Mori, mkabala Kituo cha Mafuta cha Big Born Petrol au karibu na La Chaz Pub. Unaruhusiwa kuja kukagua magari siku tatu kabla ya mnada kufanyika.



MASHARITI YA MNADA

Mnunuzi atakayebahatika kununua mali hizo atalazimika kulipa papo hapo asilimia 25 ya bei itakatokuwa imefikiwa, na asilimia 75 nyingine atalipa ndani ya siku 14 kuanzia siku ya mnada na akishindwa kulipa mnada utarusidiwa na pesa aliyolipa awali haitarudiswha.Mnunuzi atalazimika kuondoa gari/magari yako uliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote taslimu vinginevyo utalazimika kulipia storage kwa kampuni ya Tambaza.Gharama za kutoa gari alilonunua ni za mteja mwenyewe.Gari itauzwa kama ilivyo na ukiharibu haitarudishwaKwa yeyote atakayeharibu mnada hatua kali za kisheria zitachukuliwa.Kwa mawasiliano zaidi, fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza Mori opposite na Big Born Petrol Station au karibu na La Chaz Pub jijini Dar es Salaaam au piga simu namba 0713327989 au 0719 719 346 au 0222701248 au baruapepe [email protected]

Nyote mnakaribiahwa!
Chanzo: globalpublishers.co.tz