Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vitambulisho vya machinga kurejeshwa

Chalamila: Viongozi Wa Dini Muiombee Serikali Vitambulisho vya machinga kurejeshwa

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo vitarejeshwa.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo vitarejeshwa. Ametoa kauli hiyo leo, wakati wa kikao cha kutoa ripoti ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Abbasi Mtemvu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live