Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vijana wageuza fursa eneo la kuchimba dawa

Chimba Dawazz.jpeg Eneo la kuchimba dawa

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama wewe unatembelea mitandao ya kijamii basi bila shika umewahi kukutana na video hii inayoonyesha eneo maarufu kwa jina la Kona ya Mkoa ya Mbeya.

Miaka ya nyuma eneo hilo lilikuwa linatumika kama eneo la mabasi kusimama na kuchimba na abiria dawa ila kwa sasa ni kiwanja cha burudani.

Vijana waliona muonekano wa eneo hilo ni fursa na kuja na tamasha la Kubwa ambalo linafanyika kila mwaka kwa miaka 5 mfululizo.

Wamekuja na tukio kubwa la burudani katika eneo hilo huku akishukuru msaada mkubwa kutoka kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live