Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Uzinduzi gari la Makjuice wagonjwa Muhimbili watakunywa Juice bure

2953 J 660x400

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Hivi karibuni mfanyabiashara Makoe maarufu kama Mak-juice alizungumza na kueleza juu ya mpango wake wakuleta Daladala itakayokuwa ikisambaza Juice mtaani kwa lengo la kuwafikia wateja wake kirahisi sasa Daladala hiyo ishakuwa tayari na itafanyiwa uzinduzi katika hospitali za Mwananyamala na Muhimbili kwa kuwagawia wagonjwa Juice za bure kwa kila mgonjwa.

Mak-juice amesema kwamba kila mgonjwa katika hospitali hizo atakuwa akipatiwa juice bure, kama mtu anawagonjwa hata watatu wote watapewa juice ilimradi mtu huyo awe mkweli asiwe muongo, Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akielezea..



MAKJUICE: KAANZA NA MTAJI WA ELFU 7 MPAKA DALADALA YA KUUZA JUICE MTAANI



UFAFANUZI:Chumba cha Hoteli Gharama yake kwa usiku ni Milioni 22 DSM

Chanzo: millardayo.com